Thursday

UTEUZI: RAIS AMTEUA MKUU WA MAJESHI MSTAAFU KUWA MWENYEKITI BODI YA WAKURUGENZI HIFADHI YA NGORONGORO

0 comments

 

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).

-

Taarifa ya Ikulu imesema uteuzi unaanza leo Juni 30.




No comments:

Post a Comment