Mchungaji Japhes Josephat
Kufuatia hali hiyo kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera imelazimika kuhamia kwa muda katika kanisa hilo la kipentekoste la 'Huruma Katika Kristo' kwa ajili ya kuchunguza jambo hilo.
Mbali na hilo mchungaji huyo anadaiwa pia kukatisha masomo ya baadhi ya wanafunzi katika kijiji cha Nyakintuntu ambao wamejiunga na kanisa lake hilo.