Showing posts with label habari. Show all posts
Showing posts with label habari. Show all posts

Sunday

0 comments
Mgombea Dkt. Godwin Mollel (CCM) ameibuka mshindi wa kiti cha ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro uliofan...

Saturday

0 comments
Taarifa za kifo cha mwanafunzi Aquillina Akwilini aliyepigwa risasi kifuani na Polisi na kupoteza maisha jana February 16, 2018 akiwa k...

0 comments
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni (CHADEMA) Salum Mwalimu amedai sanduku la kupigia kura katika mtaa wa Idrisa Magomeni Jijini D...

Friday

0 comments
   Moja ya mabasi ya mwendokasi likishushwa kutoka kwenye meli. Shughuli ya kuyashusha mabasi hayo ikiendelea. Muonekano ha...

Thursday

0 comments
BUNGE la Afrika Kusini limemchagua Mwenyekiti wa chama tawala cha ANC Cyril   Ramaphosa, kuwa Rais wa mpito wa nchi hiyo, mpaka pale uch...

Tuesday

0 comments
Karani mmoja wa Bodi ya Mitihani nchini Nigeria, Philomena Chieshe amefukuzwa kazi baada ya kuwaambia wakaguzi wa hesabu kuwa nyoka al...

Sunday

0 comments
Sio filamu wala maigizo, hii ni kweli tupu, fahamu historia ya binti wa Kifaransa aliyekulia msituni na wanyama na kucheza n...

0 comments
WIZARA ya Maji na Umwagiliaji inatekeleza mradi wa maji wa vijiji 100 vilivyopo kandokando ya bomba kuu kutoka Ziwa Victoria...

Saturday

0 comments
Jimbo la Kansan nchini Marekani hivi karibuni limepitisha sheria ya kutoangalia kigezo cha umri kwa atakayejitokeza kugombea nafasi ya ...

Thursday

0 comments
Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo imepunguza gharama za kupiga simu na kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kitaifa na kimatai...

0 comments
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya kupitia NASA, Raila Amollo Odinga, ametaka kufanyika kwa uchaguzi mkuu mpya tena mwezi Ago...

0 comments
Mwanza.  Jengo la bweni la wanafunzi wa kiume katika shule ya Sekondari Katunguru wilayani Sengerema mkoani Mwanza limeteketea k...

Saturday

0 comments
 Watangazaji wa Kipindi maarufu cha Shilawadu kinachorushwa na Clouds tv,Soudy Brown na Kwisa wamechezea kichapo kutoka kwa ...

Friday

0 comments
Habari tulizozipokea hivi punde zinasema kuwa mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Mzee Kingunge Ngombale Mwiru amefariki dunia leo...

Wednesday

0 comments
  Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi la UNHCR, limedai kuwa jumla ya wakimbizi 1200,raia wa jamhuri ya D...

0 comments
Frank Mvungi- Maelezo, Dodoma. Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha muswaada wa Sheria ya Marekebisho y...

Tuesday

0 comments
  Wakati wafuasi wa Muungano wa upinzani nchini Kenya (NASA) wanaendelea na shughuli ya kuapishwa kwa Raila Odinga kuwa ‘Rais’...

0 comments
Kiongozi  wa upinzani Raila Odinga (NASA) ameapishwa kuwa ‘Rais wa Wananchi’ wa Kenya licha ya kugomea uchaguzi mkuu wa marudio n...

Monday

0 comments
Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewaagiza Wakuu ...

Saturday

0 comments
  Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema njia ya kusafirisha nishati hiyo ya Ilala -Kurasini itazimwa kwa muda kupisha m...