Chuo Kikuu cha Makerere kumuhadhibu  mwanafunzi aliyevaa nusu uchi

Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Makerere, anatarajiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu


Katika hali isiyo ya kawaida mwanafunzi wa chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda, anatarajiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu baada ya kudaiwa kuvaa mavazi ya kudhalilisha utu wa mwanamke, kinyume na taratibu za Chuo hicho.
Mwandishi wetu wa kampala Siraj Kalyango na maelezo zaidi.