Tuesday

Mrisho Mpoto amuandikia Afande Sele baada ya kumsema Kanumba

0 comments

 “

Afande Sele aliandika kwa kirefu sana jana baada ya hukumu ya Lulu na kuonyesha kumlaumu Marehemu Steven Kanumba kwa kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na Lulu wakati akiwa na umri mdogo kabisa.
Baada ya Mrisho Mpoto kuona hicho alichoandika Mfalme huyo wa Rhymes leo amemuandikia yafuatayo “Wewe ni kaka yangu na Mwandishi ambae sijawahi kuacha kuheshimu maandishi yako, nimesoma maandishi kwenye ukurasa wako zaidi ya mara 30
Ile barua ulimwandikia Marehemu Kanumba ulitaka imfikie? au ulitaka wanaokwenda nyuma yake wamfikishie? mbona nimepata kusikia Marehemu huwa halaumiwi kwakuwa hana uwezo wa kujitetea?”