Tuesday

MECHI 9 ZA YANGA MZUNGUKO WA PILI VPL

0 comments

Kuelekea harakati za ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2017/18, hizi ni mechi 9 zilizosalia kwa Yanga kumaliza mzunguko huu wa pili.

Mtibwa Sugar (Ugenini)
Simba SC (Ugenini)
Singida United (Nyumbani)
Mbeya City (Ugenini)
Tanzania Prisons (Ugenini)
Mbao FC (Nyumbani)
Mwadui FC (Ugenini)
Ruvu Shooting FC (Nyumbani) na
Azam FC (Nyumbani)