Wengi hasa wanafunzi wafasihi jina la profesa NOOR Sio geni kwao, kumsoma mtu lakini hujapata kumuona japo kwapicha ebwanawee haipendezi leo nimekuwekea video akiwasilisha mada usisahau kuacha comment yako ili baadaye akipita akutane nayo
Thursday
VIDEO : HUYU HAPA PROFESA IBRAHIM NOOR SHARRIF MSWAHILINA, PIA MWANAFASIHI