![]() |
Hali halisi ilivyoonekana siku ya Jana April 18, 2018 katika Maeneo ya karibu kata zote za mji wa Kahama zaNyahang’a,Nyasubi,Majengo,Muhongolo,Malunga na Muhungula wilayani Kahama mkoani Shinyang’a mara baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko ya maji ,barabara kuharibika na nyumba kubomoka kwa baadadhi ya maeneo na viunga vya mji huo.
|