![]() |
Muonekano wa Basi la City Boy baada ya Ajali.
Ajali hii imetokeo usiku wa April 4, 2018 eneo la Makomero wilayani Igunga mkoani Tabora na taarifa za awali zinaeleza kuwa Watu kadhaa wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa.
Chanzo cha ajali kinatajwa kuwa ni Lori aina ya Fuso lililopoteza mwelekeo na kulifata Basi hilo la City Boy lililokuwa linatoka Wilayani Karagwe mkoani Kagera kwenda Jijini Dar es Salaam na kugongana uso kwa uso.
|

![]() |
Lori aina ya Fuso lililopoteza mwelekeo na kulifata Basi hilo la City Boy lililokuwa linatoka Wilayani Karagwe mkoani Kagera kwenda Jijini Dar es Salaam na kugongana uso kwa uso. |

![]() |
Mabaki ya Basi la City Boy lililokuwa linatoka Wilayani Karagwe mkoani Kagera kwenda Jijini Dar es Salaam na kugongana uso kwa uso.
|