TANZIA: Aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa mbalimbali nchini, Abass Kandoro afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili
TANZIA: Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro afariki dunia usiku huuKandoro amefariki katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa kwa matibabu