Tuesday

Taswira Picha - Makazi Mapya ya Familia ya Mtoto Anthony Petro wa Ngara.

0 comments

IMG-20180428-WA0003
Ujenzi wa Nyumba ya Familia ya Mzee Petro Magogwaambaye ni Baba mzazi wa Mtoto Anthony Petro wa Kijiji Ngundusi ,Kata ya Kabanga wilayani Ngara mkoani Kagera ukiendelea katika kijiji hicho baada ya Wafadhili mbalimbali kujitokeza kuisaidia familia hiyo.

Ujenzi huo unafanyika katika eneo jipya jirani na Kabanga mjini ambapo ujenzi huo umefikia hatua hii Pichani.


IMG-20180428-WA0004

IMG-20180428-WA0005
Ujenzi huo unafanyika katika eneo jipya jirani na Kabanga mjini ambapo ujenzi huo umefikia hatua hii pichani.

IMG-20180428-WA0006

IMG-20180428-WA0007

IMG-20180428-WA0008

IMG_20180422_133738

IMG_20180422_135110
Hii ni nyumba ya awali ya Familia ya Mzee Petro Magogwa ambaye ni Baba mzazi wa Mtoto Anthony Petro wa Kijiji Ngundusi ,Kata ya Kabanga wilayani Ngara mkoani Kagera  akiifanyia ukarabati wakati huu akisubiri kupatiwa Makazi Mapya ya Kuishi.

Anaeonekana ni Dada Yake na Anthony, aitwaye Editha Petroambaye amebaki kama muangalizi wa Familia baada ya Mtoto Anthony kuwa Masomoni Mkoani Kilimanjaro.


IMG_20180422_142049

IMG_20180422_142130