Monday

BIRTHDAY YA SYLVESTER STALLONE ILIVYO FANA

0 comments


NGULI wa filamu, Sylvester Stallone (Rambo),  wiki hii ametimiza umri wa miaka 72 ambapo alipata pongezi nyingi kutoka kwa watu kibao mashuhuri wakiwemo Arnold SchwarzeneggerCarl Weathers,Jean-Claude Van DammeMichael B. JordanAl Pacino na Dolph Lundgren.
Akizungumza jijini London wakati wa sherehe hiyo, Rambo alisema miongoni mwa furaha kubwa ya bethidei yake ni kuwepo kwa mabinti wake watatu.