Mishono ya Christmas series inaendelea ,leo tuna mix za lace,vitenge ,jojet ect kama wataka mshono wa kutokea hapa utaipata,mambo ya ubarikio ,dinner date au church. golden Pink this color is the bomb