Mhariri ni yule anaye shughulika na mswada katika kuuandaa, na kuufanya ueleweke kabla haujapitishwa kuchapishwa ili kumfikia msomaji kwa namna iliyo bora zaidi
Uhariri upo Wa aina NNE
Kama asemavyo Bacha
Upo uhariri Wa kina,jumla,ushikamani na uhariri Wa Martini
Aidha
Uhariri ndio idara muhimu sana katika kampuni ya uchapishaji kwani
Mhariri analo jukumu la kuunganisha watu watatu ambao ni mwandishi, mchapishaji na msomaji
Majukumu ya mhariri katika kampuni ni pamoja na
1.kutafuta mswada
2.kuhariri mswada
3. Kumshauri mwandishi
4.kupitisha mswada
5.kuandaa mikataba
6.kupokea mswada kulingana na mahitaji ya kampuni
7.kuhariri vipengele vyote vya kifani na kimaudhui katika mswada kuwa kitabu
Kwa maelezo ya kina na yakinifu angalia majukumu ya mhariri katika maudhui yanayo fuata katika mtandao huu(older post)
Mwandishi ni mtaalamu Wa maswala ya lugha, sanaa na lagha na tehama
Info.masshele@gmail.com