masshele 2019.
Takriri za kimuundo huchunguza ni sehemu gani ya neno au kikundi cha maneno kimejirudia.
•Irabu
•Konsonanti
•Rithimu
•Urudiaji wa msamiati
•Urudiaji wa sentensi hasa katika kituo cha ushairi.
Aina za Usambamba
•wa kidhamira
•wa kifahiwa
•wa kivisawe
•kimuundo
•kisintaksia na
•kimaana
√ Usambamba
Ni urudiaji wa sentensi au kikundi cha maneno ambayo ni saw a kimaana au kimuundo.
√UMUHIMU WA TAKRIRI
°Ni kipengele muhimu cha kimtindo
°Huweza kutumika kukamilisha kusudi maalumu la mwandishi
°Husisitiza wazo lililokusudiwa na mwandishi
°kama kipengele kingine cha kisanaa
°kuleta ujumi wa Nazi
°Huongeza taarifa za ziada
°Huonesha hisia Kali.