Mzigo huu hapa ⏩Zaidi laptop 50 kutolewa
Fungua akaunti ya Scholar isiyo na makato ya mwezi wala kiwango cha chini cha kutoa pesa uzawadiwe laptop kukurahisishia maisha chuoni. Tembelea tawi letu lililopo karibu yako kufungua Scholar Account au unaweza kufungua katika vituo vyetu vitakavyo kuwepo chuoni kwako unavyo ripoti chuoni.
Jua zaidi kuhusu akaunti ya Scholar crdbtz.co/ScholarAccount
#Jipe5 #ScholarAccount