Usafishaji
Sina hakika kama sote tunajua jinsi ya kusafisha matiti. Ikiwa wewe unajua basi
ujue kunamwingine hajui na kama ilivyo ada mahali hapa tunajifunza au
kujazia/ongezea yale tunayoyafahamu.
Hakikisha unasafisha eneo zima la matiti hasa sehemu ya chini (ikiwa wameanguka
tayari) kama ilivyo sehemu nyingine ya mwili wako, vilevile hakikisha chuchu
zimejitokea na usafishe vema chuchu hiyo....hii sio kwa walionyonyesha au
wanaonyonyesha tu bali hata wewe ambae hujawahi kuwa na mtoto.
Unatambua kuwa
unapokuwa mtu mzima chuchu hutoa kashombo fulani hivi ambako husababishwa na
utokwaji wa majimaji fulani unapokaribia hedhi na wakati wa hedhi (hii
ni kutokana na matiti hayo kutengeneza maziwa incase utarutubisha yai lako).
JINSI YA KUNYONWA MATITI YAKO ILI KUZUIA YASIANGUKE
Hakikisha mpenzi wako anayanyonya akiwa ameshikilia au wewe umeyashikilia,
vilevile hakikisha anapo yapapasa au kuyatomasa, basi afanye hivyo bila
kuyahangaisha....kwamba ahakikishe yametulia.
Unapokuwa kwenye mkao wowote unaosababisha matiti yako yasumbuke basi hakikisha
mpenzi kayakamata sawia au kama wewe mwenyewe hujapoteza akili kwa raha basi
yashikilie....kwa kufanya hivyo kutasaidia matiti yako yasilegee kabla ya
wakati.
Ni wazi kuwa sote matiti yetu yanakwenda kulegea pale tutakapokuwa tunapoza
homoni yaani tutakapo zeeka lakini kuzaa au kuwa mdada mkubwa (over 40) sio
sababu ya kujiachia.
Mwisho
DINAH...