Monday

Mambo ya takayokuepusha kupata matatizo ya Tezi dume

0 comments

 




Matatizo ya Tezi dume hujumuisha, saratani ya tezi dume, kukua/kuvimba kwa tezi dume pamoja Na maambukizi katika tezi hii muhimu kwa wanaume. 

Aidha, matatizo ya Tezi dume yamekuwa yakionekana kwa wingi kwa wanaume wanaoanzia umri wa miaka 40+ hivyo umri Na historian vikitajwa pakubwa kuchangiza ugonjwa Huu.




Haya hapa mambo ambayo yatakuepusha au kupunguza hatari ya wewe kupata magonjwa ya Tezi dume (mambo Haya ni kwa mujibu wa mayor clinic

1. Epuka kunywa vimiminika wakati wa kwenda kulala.

2. Punguza vinhwaji vyenye au vyenye viambata vya caffeine pamoja Na kuepuka vinywaji vyenye alcohol Mara kwa Mara.

3. Epuka Vyakula vyenye viwango vikubwa vya mafuta.

4. Fanya mazoezi kila Mara.

3. Dhibiti uzito wako.

5.kula matunda hasa Yale yenyewe utajiri wa vitamin c Bila kusahau mboga mboga.

6. Jitahidi kuepuka kula nyama nyekundu.

No comments:

Post a Comment