Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai ametangaza
kujiuzulu wadhifa wake huo ndani ya Bunge leo Alhamisi, Januri 6, 2022
kutokana na fukuto la kisiasa linaoendelea kufuatia kauli yake aliyoitoa
kuhusu Rais Samia Suluhu kukopa Tsh trilioni 1.3.
