Saturday

UKRAINE YASEMA WANAJESHI WAKE WALIUAWA BAADA YA KUKATAA KUJISALIMISHA

0 comments







UKrains imewatuza wanajeshi 13 waliouawa wakilinda kisiwa kidogo baada ya kuripotiwa kupuuza meli ya Urusi iliyowaamuru kujisalimisha.


Katika nakala za sauti ambazo hazijathibitishwa, walinzi wa mipakani wanaolinda Kisiwa cha Zmiinyi kwenye Bahari Nyeusi wanaambiwa "waweke chini silaha zako" au "wapigwe kwa bomu".


"Meli ya kivita ya Urusi, endeni kuzimu," wanajibu.Ukraine inasema baada ya ha waliuawa kupitia mashambulizi ya angani na baharini. Urusi inakanusha hiyo, ikisema wote walijisalimisha.


Rais wa Ukraine VolodymyrZelensky amewatambua kila mmoja wa walinzi hao kama "shujaa wa Ukraine"

No comments:

Post a Comment