Baada ya Rais Magufuli kumteua Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Muungwana Blog Ilifanya mahojiano maalumu na Tundu Lissu na kumuuliza anaizungumziaje hatua ya Rais Magufuli kuwapa nafasi wapinzani katika Serikali yake?
Alijibu "Hao sio wapinzani, hawajawahi kuwa wapinzani... Walianzishwa kwa kazi maalumu na sasa wanapewa zawadi..."
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI
Karibu Tena