Tuzo za WASTA ambazo zilianzishwa na Shekh  wallah Bin Walla
Ambapo magwiji wakiswahili hukutana kwaajili ya kutuzwa na kutuza 
Video hii ni ya mwaka 2016 katika tamasha hilo lililo fanyika Nairobi kenya na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa kiswahili