Saturday

NAFASI YA MWANAMKE KATIKA MIUNDO YA KIUCHUMI YA TANZANIA , MIFANO KUTOKA KATIKA KAZI ZA KIFASIHI NA NINI KIFANYIKE ILI KUMKOMBOA MWANAMKE

0 comments

Jinsia ninini? Jinsia ni namna Jamii inavyo mtazama mwanamke na mwanaume pamoja na majukumu wanayo pewa katika Jamii.

Aidha miundo ya kiuchumi , ni namna, mwonekano,mtagusano, mfumo au vijenzi vya uchumi

katika mifumo ya kiuchumi ya Tanzania mwanamke angali duni sana

Katika umiliki Wa Mali> kwa Tanzania mwanamke ndiye anaye miliki njia nyingi za kiuchumi kama vile biashara nk

Mwanamke hufanya Kazi duni kama vile kuuza matunda nk

Katika umiliki Wa Mali ambazo haziamishiki kama vile mashamba na nyumba mwanamke hana sauti ya kutosha katika hili na hali huwa mbaya zaidi mumewe anapo fariki huweza hata  kunya'ang'anywa miradhi.

Katika shughuli nyingi za ofisini utawakuta wanawake masekretari.
Je nini kifanyike?

Mwanamke ajitambue
Elimu itolewe.
Wanawake na wanaume washirikiane katika ukombozi huu.

Kazi za kifasihi unaweza kurejelea Nguzo mama ya Penina Muhando, Watoto Wa mama ntilie ya Emanuel Mbogo, nakazi nyinginezo.

No comments:

Post a Comment