Saturday

NAMNA MWANAMKE ANAVYO SAWIRIKA KATIKA NYIMBO ZA BONGO FLEVA MIFANO KUTOKA KWA WASANII WAWILI ,DIAMONDI NA ASLAY

0 comments
 Bongo fleva ni Sanaa Mpya ya ushairi ambayo imechimbukia Tanzania kati ya miaka ya 1997 hadi sasa, ukiitaja Sana'a hii nilazima uwataje nguli Wa zamani Wa Sanaa hii kama vile Mr Nice na wengineo. Hata hivyo sanaa hii imekua kwa kiasi kikubwa katika miaka ya 2009 hadi sasa.

Wasanii mbalimbali katika Sanaa ya bongo fleva wamekua wakiimba nyimbo zao kwa kutaka kuwasilisha hisia zao, mitazamo yao, fikra zao, matatizo yao, au vile Jamii ilivyo, wengine wakihamasisha, kukosoa, kufundisha, au hata kutania.

Miongoni mwa hao mwanamke amekuwa akisawirika kwa namna tofauti tofauti kama ifuatavyo

Moja, chombo cha starehe
Pili msaliti
Tatu, shujaa
Nne, mwenye wivu
Tano, mlevi
Sita, mlezi
Saba, chanzo cha maovu

Rejea na chambua nyimbo za wasanii tajwa hapo juu

Itaendelea
info.masshele@gmail.com

No comments:

Post a Comment