Saturday

DHANA YA SENTENSI NA UCHANGANUZI WA SENTENSI KIMUUNDO

0 comments
 Kwa mujibu Wa massamba na wenzake
 2012, Sentensi nikipashio kikubwa kabisa cha kimuundo chenye maana.

Aina za sentensi
1. Sentensi sahili
Sentensi sahilk ni muundo Wa tungo unao husisha kirai nomino na kirai kitenzi na wenye maana kamili iliyo kusudiwa. Kiini cha sentensi hizi ni kirai kitenzi
Mifano
1. Anatembea
2.juma na jastini wanaandika barua
3. Usije kwetu tena.

Miundo ya sentensi sahili.

1. Muundo Wa kirai kitenzi
Mfano wanapendana

2.muundo Wa kirai nomino
Kaka amefika

3.muundo ya kirai kitenzi kilicho kitwa katika kitenzi kuwa
a) Abasi ni kijana mzuri
b)Habiba ni wakwanza

4.muundo ambao virai nomino na kirai kitenzi vimeandamana na vijalizo

Mfano
a) Baba yangu alininunulia machungwa mawili usiku.

UCHANGANUZI WA SENTENSI SAHILI

sentensi(S)------> Kirai nomino(KN) kirai kitenzi(KT)

                         S


|                                            |

KN.                                       KT

 Mfano  a) Juma analima



                         S



|                                         |
KN.                                       KT


juma                                     analima




Zingatia muundo ya KN na KT

upande Wa KT huweza kubeba pia KN


UCHANGANUZI WA NJIA YA MSHALE


mfano
Watoto wale walilia bila sababu

S•••••••••••••>KN    KT
KT••••••••••••>T     E
KN•••••••••••••>N   V
N••••••••••••••> Watoto
V•••••••••••••••>Wale
T••••••••••••••••wanalilia
E••••••••••••••>bila sababu


SENTENSI AMBATANI
Sentensi ambatani ni sentensi yenye vishazi viwili au zaidi vilivyo unganishwa kwa kutumia viunganishi.

Mfano
a) Mwalimu anafundisha na wanafunzi wanasikiliza

b) Usiteme wala usimeze

Muundo ya sentensi ambatani

a) muundo wenye vishazi sahili tu
b) muundo yenye vishazi sahili na vishazi ambatani
c)muundo yenye vishazi changamani tuu
d) muundo yenye vishazi visivyo na viunganishi.

UCHANGANUZI WA SENTENSI AMBATANI



               S


|            |                  |


S1.         U                      S1



|       \                           |             \

KN.      KT.                      KN.         KT




DHANA YA SENTENSI CHANGAMANI

Sifa moja kubwa ya sentensi CHANGAMANI ni kuwa na kishazi kitegemezi ambacho hutegemea kishazi kingine huru ndani ya sentensi hiyo
Vishazi katika sentensi CHANGAMANI sii lazima vidhibitiwe na kiima kimoja,  badala take kishazi kinaweza kuwa na kiimachake


a) Alipo rudi nyumbani alikuta tumelala

b) Akiondoka Leo hataonana na Dada take

c) tulirudi nyumbani usiku, tukaoga, tukapika, tukala, tukalala,



Muundo ya sentensi CHANGAMANI

Miiundo ya vishazi virejeshi

Muundo hii ilielezwa kuwa no ile ambamo kipashio kikubwa kama kishazi hubebwa na kipashio kidogo kama kirai.

Mfano

a) Mtoto  ALIYE TUMWA KWENDA KUMLETEA MGOJWA DAWA amerudi


b) vitabu VILIVYO TAKIWA KUGAWIWA KATIKA SHULE MBALIMBALI vimepotea
Katika sentensi hizi uchangamani umeingizwa na vishazi virejeshi vilivyo andikwa kwa herufi  kubwa.


2.muundo ya vishazi vielezi


Mifano
a)
ALIPOKUWA MTOTO ,alimpenda sana baba take

b) WANGETAKA TUELEWANE wange tuita

Katika mifano hapo juu iloyo andikwa kwa herufi kubwa  vishazi vielezi .


UCHANGANUZI WA SENTENSI CHANGAMANI

                          S


KN.                                           KT


N.           S.                         T.            KE


Mbuzi      [Aliyenunuliwa ] amechinjwa

                  [ Juzi.          


KE = Leo asubuhi.


Mwandishi E.G. masshele(2019)makalamkondoni.Massheleblog.www.masshele.blogspot.com      

No comments:

Post a Comment