Saturday

Maana ya Tungo pdf

0 comments
Kwa mujibu Wa massamba 2012
kunatungo zifuatazo

1.Tungo neno

2.Tungo Kirai

3.Tungo kishazi

4.Tungo sentensi

maswali ya mjadala

1.Eleza kwa kifupi dhana ya Tungo

2.sii kila tungo ni sentensi, fafanua kauli hi kwa hoja za kutosha ili kubainisha tofauti zake


3. Tofautisha kwa kutumia mifano ya kutosha

a) tungo neno na tungo kirai

b) tungo kirai na tungo kishazi

c) tungo kishazi na tungo sentensi

4. Kwa kutumia mifano bayana eleza mambo yanayo jenga na kuunda tungo neno

No comments:

Post a Comment