Friday

NAFASI YA KISWAHILI KATIKA NCHI ZA KUSINI MWA AFRICA SADC

0 comments
Akizungumza katika kipindi cha kumekucha cha ITV, profesa Aldin Mutembei, amezungumzia nafasi ya lugha ya kiswahili katika nchi zinazounda muungano wa SADC, na mambo mengine kuhusu kiswahili.
Kuona na kusikiliza fungua Vidio hapa chini. Kisha mwachie professa comment yako ili baadaye akipita aione.

No comments:

Post a Comment