Ni riwaya inayoeleza siri iliyofichika katika ulimwengu wa siri na mambo yanayo fanywa na wachawi. Ni mambo mazito na yakuogopesha katika ulimwengu wa kawaida, huku yakiwa ni yakawaida kabisa katika ulimwengu wa kichawi. Wakati ikiwa ni jambo la kuogofya kunywa damu ya binadam Lakini katika ulimwengu wa sihiri ni kawaida na ndicho kinywaji murua kama soda inavyonywewa. Aidha mambo haya ya siri na mazito aliyotwisha sudi akiwa na miaka 16 tu ndiyo yaliyomfanya aseme anauchukia uchawi. Mkasa huu umeelezwa kwa namna ya kibunifu na ufundi wa kisanaa.
Aidha riwaya ya chozi haram inaeleza namna Majaliwa alivyojiingiza katika mtego wakati wa utafutaji, mtego uliomletea matatizo makubwa, ikiwa pamoja na misukosuko pamoja na kugharimu maisha ya familia yake.
Kujipatia moja ya maandiko hayo wasiliana
+255766605392 (call &text)
+255677489288 (WhatsApp)
email, info.masshele@gmail.com