Tuesday

JINSI YA KUTOKA NJE YA MWILI KWA NJIA RAHISI KUTOKA NJE YA MWILI

0 comments



Sote hutoka nje ya mwili pale tunapoenda usiku kulala, pale unapokuwa umetoka huhisi labda unaota lakini ndio unakuwa muda mwingine unaexperience ulimwengu wa nje ya mwili na ndipopale ukikutana na cha kukustua au kukuogopesha basi huwa ukirudi bado unahisi kuogopa na kutamani kujificha ikiwa umeota upo kwenye eneo zima lina rangi ya brown na unapaa au kuanguka huku unakuta kitu kama utando unakufuata nyuma yako basi hapo hapo jua kuwa umetoka nje ya mwili na unasurvey ulimwengu wa roho


JIFUNZE HIVI ILI UWEZE KUTOKA KIRAHISI:

wakati unaingia kulala usiku, zima taa
lala ukiwa umenyooka vema na utulie bila kujigusa wala kujikuna popote panapowasha au kugusa popote panapoleta hisia au kuchezesha chezesha macho.



 Imagine mwili mwingine ukijitengeneza kutoka ndani ya mwili wako wenye rangi ya kijivu  pale tu ikifikia sehemu unajiona umetulia tuli kabisa ndio uanze kuimagine hivyo endelea kuimagine hadi uhisi mwili wako umeanza kuelea kwenda juu na kuanza kuchezesha viungo hali ya kuwa ubongo au akili yako iwe inacontrol miili miwili kwa wakati mmoja, mmoja ukiwa umetulia na mwingine ukiwa unaelea kwa actions utakazo command kutumia fikra zako hata kutoka tumia fikra


geuka na tizama mwili wako eneo ulipokuwa umelala wakati wa kugeuka ni pale utakapohisi mwili wako tayari unaelea angani kama unaelea kwenye maji na kupigwa na mawimbi hapo ndio ugeuke na kutizama physical body yako.. utaona mwili wako umelalana kuwa kiutando kimekuunganisha nao anza ku survey ndani ya chumba na kuzunguka nyumba yako usiende mbali kwa mara ya kwanza...



ZOEZI LIKIENDA TOFAUTI:

mara nyingi zoezi huenda tofauti wakati wa kujiinua kwa astral body yaani mwili wa roho mtu hukwama na kujikuta kwenye kinga ya ndoto usiku yaani safe body paralyze ambayo hii humkinga mtu kutokujiumiza wakati wa kuota hali huwa tete pale mtu anapojikuta kanata na mwili hautikisiki wala kucheza hutakiwi kuogopa kwani kitendo hiki huchukua chini ya sekunde 30 na ukajikuta umamka kwa uhuru..

haitishi ila hustua kidogo na ukijikurupua huwa inaisha ikikutokea hii basi katisha zoezi maana yake umefail kwa siku hiyo utafanya tena baadae au siku inayofuata

No comments:

Post a Comment