TANGAZO LA KAZI YA MUDA MFUPI-SABASABA
University of Dar Es Salaam Computing Centre (UCC) ilishinda zabuni ya kujenga mfumo, kusambaza vifaa na kutoa huduma ya Uendeshaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es salaam (DITF), maarufu kama Maonesho ya Sabasaba yatakayoanza Juni 28 hadi Julai 13, 2022 kwenye viwanja vya Maonesho ya Sabasaba vilivyovyopo barabara ya Kilwa, Temeke - Dar es Salaam.
Hivyo, UCC inapenda kutangaza nafasi za kazi za muda mfupi kwa ajili ya kushughulikia huduma za uendeshaji wa maonesho na kuuza Tiketi za kuingia uwanjani (watu na magari).
Hivyo, UCC inapenda kutangaza nafasi za kazi za muda mfupi kwa ajili ya kushughulikia huduma za uendeshaji wa maonesho na kuuza Tiketi za kuingia uwanjani (watu na magari).
Pakua Tangazo pdf <HAPA>