MATUKIO ya wanawake kuuawa kikatili na wapenzi au waume zao yameendelea kutikisa, baada ya mwanamke mmoja mmiliki wa saluni ya Madam Beauty Point, anayefahamika kwa jina la Leonia Julius, kudaiwa kunyongwa na mpenzi wake wakiwa hotelini… Global TV imezungumza na ndugu na wafanyakazi wake wa saluni ambao wameelezea mkasa mzima.
CAMERA ZIMEMNASA ALIYEMNYONGA LEONIA HOTELINI, KAKA WA MAREHEMU AZUNGUMZA, KAACHA MTOTO WA MIAKA 11!
Video na Global Tv