PACHA WALIOUNGANA WATENGANISHWA KWA MAFANIKIO MUHIMBILI: Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa mara ya kwanza imefanikiwa kuwatenganisha watoto waliokuwa waameunga baadhi ya viongo Upasuaji ambao umegharimu takriban Shilingi milioni 50 ambapo ungefanyika nje ya nchi ungegharimu zaidi ya Shilingi milioni 120.