Karibu usome sms za mahaba za kumtumia mpenzi wako usiku ambaye Yuko mbali nawe. Kwa kutambua umuhimu wa mapenzi hapa nimekuorodheshea sms mbalimbali za mahaba za kumtumia yule umpendaye ambaye Ni mpenzi wako.
- "Nakupenda kuliko chochote Mume wangu"
- Nakupenda zaidi ya chochote mke wangu"
- My love ❤️ usiku mwema mayazo yangu yapo juu yako
- Naona ulivyolala mpenzi natamani ningelala karibu yako usiku nikuamshe na mabusu ule tunda lako
- Najikuta nimekumis zaidi usiku huu my love
- Kila ukifika usiku naikumbuka penzi lako
- Natamani tungelala wote nikufunikw mpenzi
- Mungu akulinde kipenzi changu ulale salama
- Ungekuwa hapa usiku huu kusingekuwa na haja ya taa kipenzi "Kama Ni mweupe"
- Kila nikikuwaza najikuta nimeloa my hubby
- Nimemic juice yako my love
- My beb utajisikiaje Kama nikilala pembeni yako na nguo nyepesi
- Nafikiria uzuri wako my love mpaka nipitiwe na usingizi
- Jana sikupitiwa na usingizi nilikuwa nawaza utundu wako
- Ndoto inayoweza kunishtua zaidi nikuota wewe ukiondoka katika maisha yangu
- Kila usiku baridi hunikumbusha umuhimu wako my beb
- Siku tukilala usiku pamoja nitaomba usiku huo usiishe
- Usilale Sana usije ukanisahau beb
- Wewe Ni furaha yangu
- Ubarikiwe usiku ambao mimba ya kuzaliwa kwako ilitungwa maana kwayo nimekupata wewe kipenzi
- Mahaba yako hayamithiliki
- Utamu wa penzi lako hayamithiliki
- Natamani ningelala pamoja nawe ili asubuhi nikiwe wakwanza kukuona
- Ningekuwa karibu yako usiku huu ungeniomba nikufanyie Nini my love
Kwaleo nitaishia hapo changua sms bomba kwaajili ya kunogesha penzi lako. Tukutane katika makala nyingine.