Monday

NAFASI ZA KAZI SHULE YA ST. MATTHEW’S, USAILI KUANZA JULAI 4

0 comments


Tangaza la Nafasi za kazi kwa walimu wa Sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi Kidato cha Sita katika masomo yafuatayo Basic na Pure Mathematics, Physics, Chemistry, Biology, Civics, History, Geograpy, Kiswahili, English, Economics, Book-Keeping, Commerce na Computer.


No comments:

Post a Comment